Acts 7:17-19

17 a“Lakini wakati ulipokuwa unakaribia wa kutimizwa kwa ile ahadi ambayo Mungu alikuwa amempa Abrahamu, watu wetu walizidi kuongezeka sana huko Misri. 18 bNdipo mfalme mwingine ambaye hakujua lolote kuhusu Yosefu akatawala Misri. 19 cHuyu mfalme akawatendea watu wetu hila na kuwatesa baba zetu kwa kuwalazimisha wawatupe watoto wao wachanga ili wafe.

Copyright information for SwhNEN